Numbers 13:4-15

4Haya ndiyo majina yao:

kutoka kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri;
5kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori;
6 akutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune;
7kutoka kabila la Isakari, Igali mwana wa Yosefu;
8 bkutoka kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni;
9kutoka kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu;
10kutoka kabila la Zabuloni, Gadieli mwana wa Sodi,
11kutoka kabila la Manase (kabila la Yosefu), Gadi mwana wa Susi;
12kutoka kabila la Dani, Amieli mwana wa Gemali;
13kutoka kabila la Asheri, Sethuri mwana wa Mikaeli;
14kutoka kabila la Naftali, Nabi mwana wa Wofsi;
15kutoka kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki.
Copyright information for SwhNEN